Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Shemeji yenu hakuwa na tatizo lolote la Presha lakini toka apate Ujauzito Presha yake mara Kwa mara Huwa chini.Nini husababisha hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu hapa unazungumzia wingi Wa damu au??Amepima damu na anakunywa maji vizuri? Hana infection au allergies?
Nunua PB machine uwe unamcheck mara kwa mara na kuwa karibu na daktari wake.
Upungufu wa damu au majiSamahani mkuu hapa unazungumzia wingi Wa damu au??
Shukran mkuuUpungufu wa damu au maji