Nini husababisha Presha kushuka Kwa Mama Mjamzito ?

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,404
Reaction score
10,900
Shemeji yenu hakuwa na tatizo lolote la Presha lakini toka apate Ujauzito Presha yake mara Kwa mara Huwa chini.Nini husababisha hilo?
 
Chini hadi Dr amesema ni hatari???aisee!! Nijuavyo Mimi presha ya mjamzito hushuka kidogo mimba ikiwa changa! Sky Eclat
 
Amepima damu na anakunywa maji vizuri? Hana infection au allergies?

Nunua PB machine uwe unamcheck mara kwa mara na kuwa karibu na daktari wake. Kuwa pia na diary kurekodi saa ulizompima
 
Amepima damu na anakunywa maji vizuri? Hana infection au allergies?

Nunua PB machine uwe unamcheck mara kwa mara na kuwa karibu na daktari wake.
Samahani mkuu hapa unazungumzia wingi Wa damu au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…