Nini husababisha

Nini husababisha

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,013
Jamaa yangu aliniomba ushauri nikashindwa kumjibu

tatizo lake ni hili

akiwa na mkewe kwenye 6kwa6 hupata goli moja raundi ya pili hushia kuanza na kushia mzee kulaa mwenyewe akiwa kwenye shughuli na game huishia hapo... Je ni tatizo gani linalomwandama..
Wakat mwingine akiwa na mkewe anaweza kupita hata siku 4 bila ku du nae na wanalala kitanda kimoja!
Anasema imeanza siku si nyingi na alikuwa anapiga mpaka 4 kwa usku mmoja! Na akishalala hanyanyuki tena... Anaomba ushauri.
 
Upungufu wa virutubisho mwilini unaosababishwa na ulaji mbovu usiokuwa balanced...

pia mwambie aanze physical exercises na aache mawazo mawazo kuhusu matatizo aliyonayo..

tell him to assume everything is ok while working to make them ok!
 
Asante ndg kwa ushauri, nitaufkisha
 
muulize mkewe anataka dozi kiasi ganiii...anaweza akamridhisha vyema kabsaaa bila hata kuongeza goli la pili...
 
Back
Top Bottom