Nini husabanisha gari kuunguza alternator mara kwa mara

Nini husabanisha gari kuunguza alternator mara kwa mara

cebran

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
278
Reaction score
684
Nina gari yangu Mitsubishi Pajero mini mwezi uliopita taa ya kuashiria alternator inashida iliwaka kwenye dash board, nikanunua mpya tulivyofunga taa ikazima ila baada ya siku moja taa ikawaka tena,
Wajuzi hapo shida inaweza kuwa nini kinasababisha?
 
Yawezekana mlitibu ugonjwa tofauti!!! mitsubishi zinachagua sana mafuta...ukiwa unaweka mafuta ambayo yamechakachuliwa basi nozil huwa zinafeli na kukuletea taa ya check engine
 
raha ya kua na gari lenye sensor nyingi ni kwamba inaweza waka check engine alaf oxygen sensor ndio ukakuta inashida
  1. Hakikisha belt ya alternator imefungwa vizuri na iko katika hali nzuri.
  2. Kagua nyaya na viunganishi vyote vya alternator na betri.
  3. Pima betri kuona kama inashika chaji vizuri.
  4. Pima voltage regulator kuona kama inafanya kazi vizuri.
  5. Angalia fuse na relays zinazohusiana na mfumo wa umeme wa gari.
  6. Kagua ground connection
  7. fanya full diagnosis ya gari *note hapa mtu kukufutia fault code hcho ktaa kikazima na ukajua gari limepona ni kugusa tu na anabeba maokoto
kabla ya kununulishwa kitu kingine tafta fundi bora sio mzoefu wa maswal ya umeme wa magari na diagnosis
 
Back
Top Bottom