Nina gari yangu Mitsubishi Pajero mini mwezi uliopita taa ya kuashiria alternator inashida iliwaka kwenye dash board, nikanunua mpya tulivyofunga taa ikazima ila baada ya siku moja taa ikawaka tena,
Wajuzi hapo shida inaweza kuwa nini kinasababisha?
Yawezekana mlitibu ugonjwa tofauti!!! mitsubishi zinachagua sana mafuta...ukiwa unaweka mafuta ambayo yamechakachuliwa basi nozil huwa zinafeli na kukuletea taa ya check engine