Hisa si kitu ambacho watu wengi tunakifahamu!! Lakini bado ni kitu ambacho watanzania baadhi wanakifanya??
Kuna mwaka Nakumbuka Hisa za kampuni flan ( zilidoda had zikawa zinatangazwa na wanasiasa wanaomba wanunue)
Je kwa uzoefu wako nn ambacho hutakisahau kuhusu mambo ya hisa?