Nini hutokea kwa Makocha baada ya mpira kwisha??

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hiv makocha huwa wanaambiana POLE Kama amekufunga pale wanapokutana baada ya mpira kwisha hasa wa miguu au kuna kingine??...

Tujuzane Naimani kuna watu washawai kuwa makocha humu..

Mfano jana Conte na Wenger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…