Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 712
- 1,642
Habari wanajamii., naomba kujua nini kitatokea kwa raia anaegomea amri ya askari polisi. Kwa mfano anatuhumiwa kwa kosa fulani na askari akamweka chini ya ulinzi lakini kwa makusudi raia huyu anagoma kuwa chini ya ulinzi wa askari. Je ni hatua zipi askari atachukua dhidi yake. Natanguliza shukrani zangu.