Nini hutokea kwa raia anaegoma kutii bila shuruti. kwa makusudi kugomea amri ya askar

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,642
Habari wanajamii., naomba kujua nini kitatokea kwa raia anaegomea amri ya askari polisi. Kwa mfano anatuhumiwa kwa kosa fulani na askari akamweka chini ya ulinzi lakini kwa makusudi raia huyu anagoma kuwa chini ya ulinzi wa askari. Je ni hatua zipi askari atachukua dhidi yake. Natanguliza shukrani zangu.
 
We kwa akili yako tu unadhani askari atafanyaje? Huja goma tu unapigwa,sasa ukigoma itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…