Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Imekuwa kawaida ya kumpata umtakaye kupitia kumshawishi hasa hasa kwa maneno yaani kutongoza
Nina Visa viwili vilivyonifanya comrade wa kurusha nyavu😂
Part I
Kuna katoto ka kike hako ka get Kali kwao kalipewa ulinzi Zaid ya Tanzanite ukikaona hutotamani masaa yasonge kwa uzuri huo hivyo juu ya kutokuweza kuonekana kwake ovyo ovyo kukafanya kuniwazisha nampataje huyu
Siku moja nikagonga home kwao kuzuga Kama msaka kibarau nikaambiwa na Getman rud kesho ujaribu boss yupo job nikasema poa kesho ntajaribu
Tu cut the stor niliweza Zama ndani ya Ile ngome nikapiga Kaz za nyas kwa malengo
Nikaanza Anza vimazoea na yule dogo Mara nikapitisha sound dogo kasema Ila Mimi sijui hayo Mambo
Nikaona hii Ni new product
Nikawa na bembeleza kumbe dogo alimpitishia za chini mshua kijakaz anataka kun***Mba
Ishukuriwe miguu ningefanya msosi ya Yale ma mbwa Yao😂😂 mzee katoka na panga nikajiuliza mbona sioni miti ya kupruni asee 😂😂 nasikia mama nanii dog inakulaga kilo ngapi kwa siku 😂😂 asee acha kabisa wanaume tunapitia mengi.
Nilihama mtaa na mda nilipoteza juu ya yule mrembo wa tajir
Part II
Itaendelea😂😂