Nini huwa kinawafanya wanawake wachukiane au wasipendane wao kwa wao?

Nini huwa kinawafanya wanawake wachukiane au wasipendane wao kwa wao?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nini huwa kinasababisha wanawake kuchukiana au kutopendana wao kwa wao?

Ukikuta wanaume wanachukiana au hawapendani mahali mara nyingi kutakuwa na maslahi ila wanawake wana tabia fulani hivi ya kuchukiana au kutopendana tu bila hata sababu za msingi.

Mimi hata katika huduma mbalimbali huwa sioni tofauti yoyote ya kuhudumiwa na mwanamke au mwanaume ila nimewahi kuwasikia wanawake wengi sana wakitamani kuhudumiwa na wanaume zaidi kuliko wanawake wenzao katika maeneo kama ya hospitali, ofisini au sehemu za starehe.
Screenshot_20241108-191349_X.jpg
 
Sijui kwanini
 

Attachments

  • Screenshot_20241108-164627_1.jpg
    Screenshot_20241108-164627_1.jpg
    322 KB · Views: 6
Back
Top Bottom