Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hivi Kwenye muongozo rasmi wa utendaji(PGO) ya police kuna muongozo wa polisi wasiovaa sare kukakamata raia watuhumiwa?
Kuna muongozo wa polisi kufanya ukamataji wakiwa na gari ambazo hazina namba rasmi za polisi?
Lakini hata kabla hatujaenda kwenye muongozo wa polisi tukifikiria tu kwa common senses tu kwamba mtu hana vidhibiti kama dawa za kulevya, magendo, nyara za serikali au bunduki kuna maana gani au mashiko ya kuviziwa na kukamatwa na askari wasiovaa sare au wanaotumia gari zisizo na namba za polisi?!