Kwenye fungate wana dada-vuana sana! Ni uzoefu mzuri sana ndiyo siku ya kuonyesha udume wako na bibi kuonyesha uanamke wake. Ina hitaji mafunzo mapana zaidi. Hapa kwenye JF wengine ni watoto wetu, tutafute kwa muda mwafaka tukuelekeze. Njoo na mwenzio pale Mlimani city Kesho jioni Meza za nje pale kwenye mgahawa usio na pombe. Nitakuwa nimevaa kibandiko cha kahawia na mamsapo akiwa kwenye vazi la jioni rangi ya samawati. Tutakaa meza ya mwanzo kushoto. Tutawagawa katika jinsia ili tupate kuteta bila woga wala aibu. karibu kesho na wengine wenye haja hiyo wote mnakaribishwa.