Ubongo ni mojawapo ya kiungo kitovu cha mtandao wa mishipa ya kusafirisha damu mwilini.Ubongo na uti wa mgongo huweza kuwa na uvimbe wa saratani ingawa ni nadra sana, ugonjwa huu ni hatari sana ikiwa hautatibiwa mapema.
Kisababishacho saratani ya ubongo haijulikani, lakini kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugonjwa huu:
Ukiwa na saratani katika sehemu zengine za mwili huweza kusambaa hadi katika ubongo
Kufanya kazi katika kampuni za kusafisha mafuta, bidhaa za mipira , zinazotengeza madawa.
Dalili Uvimbe unaweza kujitokeza katika sehemu yoyote ya ubongo,kwa hivyo dalili zitatofautiana.