Nini huwezi kabisa kati ya haya

Zamani watu walikua wanaishi vp kabla hela haijagunduliwa

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Kuna tofauti ya watu wazamani walivyokuwa wanaishi bila pesa. Na sasa.
Zamani kulikiwa na butter trade yaani instead of kukuuzia mchele.. tunabadilishana mchele kwa mbuzi. Tunabadilishana vitu.

Mifumo ya sasa imebadilika.. hiyo kitu huwezi fanya. So ni either u adopt ili uweze kuish kwenye dunia ambayo pesa imekuwa kila kitu au ujaribu kuishi kizamani kwenye dunia ya sasa ambapo lazima ufeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ukiamua kutafuta shamba lako ambalo ukawa unalima na kufuga kwa ajili ya chakula

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…