haya majina ya maeneo haya yananipa mashaka sana juu ya mawazo ya wazee wetu. na najiuliza ilikuaje wakafikiria kuita haya maeneo majina haya? je watoto wao sasa wanapokuwa wanaendana na majina haya hawaoni kama ni muendelezo wa hisia zao?
Tatizo unayatafsiri haya majina kwa lugha ambayo sio asili yake, jaribu kutafta maana yake kwa kilugha cha makabila zinakopatikna hizi sehem, utakuta ziko meaningful na sio upuuzi unaowaza.