Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Ni kweli kwamba waajiri wanapashwa kuongeza mishahara ya wafanyakazi asilimia sawasawa na inflation rate? Kwa nini?
GTs nisaidieni.
GTs nisaidieni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kweli! ongezo la mshahara linategemea perfomance ya mtu binafsi na pia ya kampuni/shirika mtu analofanya kazi, kama ufanisi umekua mkubwa, biashara imepanuka then chance ya ongezeko kuwa kubwa inaongezeka, pia kama mtu amefanya kazi vizuri sana hata kama kiujumla kampuni haikufanya vizuri sana ongezeko laweza kuwa kubwa na ndio maana ongezezo la mishahara haliko flat accross individuals
Very true mtoa hoja. Lakini kwa bahati mbaya uchumi wetu hauliwezi hili siku tukifika hapo uchumi utakuwa taabani zaidi. Zipo nchi Ulaya wana adjust payment hasa kima cha chini kutokana na inflation. Kwa nchi kama zetu kinachotakiwa kufanyika ni kucurb inflation.Ni kweli kwamba waajiri wanapashwa kuongeza mishahara ya wafanyakazi asilimia sawasawa na inflation rate? Kwa nini?
GTs nisaidieni.