Shukrani Mkuu, ila hiki Kimombo Bwana 😁Terms of reference (TOR) define the purpose and structures of a project, committee, meeting, negotiation, or any similar collection of people who have agreed to work together to accomplish a shared goal. Terms of reference show how the object in question will be defined, developed, and verified.
DondooSalaaam, salaam!
Wakuu ni imani yangu kuwa nyote mu-wazima, shughuli za utafutaji wa mkate wa kila siku zinaendelea, wale wenye changamoto mbalimbali poleni na mungu awafanyie wepesi.
Nije kwenye lengo la uzi huu, wakuu naomba mnisaidie maana ya maneno haya "hadidu za rejea" maneno haya nimekua nikiyasoma sehemu mbalimbali ila maana yake imekua ikinichenga. Tafadhali nifungueni katika hili.
Newmonia inaua, tuchukue tahadhari.
Hadidu za rejea kwa kiingereza terms of reference mara nyingi huwekwa kwa mkutano (meetings), Miradi (projects) au hata huduma za ushauri (consultancy), humaanisha dondoo a makubaliano au yale maeneo mnayotakiwa kuzingatia kama muongozo iwe kwenye mkutano , mradi au huduma za ushauri...na hii haifanani na "agenda"...Salaaam, salaam!
Wakuu ni imani yangu kuwa nyote mu-wazima, shughuli za utafutaji wa mkate wa kila siku zinaendelea, wale wenye changamoto mbalimbali poleni na mungu awafanyie wepesi.
Nije kwenye lengo la uzi huu, wakuu naomba mnisaidie maana ya maneno haya "hadidu za rejea" maneno haya nimekua nikiyasoma sehemu mbalimbali ila maana yake imekua ikinichenga. Tafadhali nifungueni katika hili.
Newmonia inaua, tuchukue tahadhari.
Tafsiri yake ni vile vibomu vya nondo za kuingia navyo kwenye mitihani ili kuigilizia, unakuta kikaratasi kufupi ila kina topic 10.