Usikimbilie kuipa ndoto tafsiri ya moja kwa moja ya kiroho. Ndoto zinaweza kutokana na mawazo, hofu au mambo uliyopitia. Kama wewe ni Mkristo, ichukulie kama sababu ya kutafakari na kumuomba Mungu hekima na ulinzi, si kama hukumu kwamba jambo baya lazima litokee.WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla
Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Kwa mtazamo wa kiroho, nyuki wanaweza kuashiria changamoto, presha au watu wenye kukusumbua, huku kuumwa kukimaanisha kuna jambo linaweza kukuumiza au kukupa tahadhari. Lakini si lazima iwe ishara ya mabaya yatakayotokea. Chukua kama wito wa kuwa makini, kuomba na kumtegemea Mungu zaidi.WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla
Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Rest In Peace šļø Carasco PutinR.I.P
Shukrani mkuu ..!!Kwa mtazamo wa kiroho, nyuki wanaweza kuashiria changamoto, presha au watu wenye kukusumbua, huku kuumwa kukimaanisha kuna jambo linaweza kukuumiza au kukupa tahadhari. Lakini si lazima iwe ishara ya mabaya yatakayotokea. Chukua kama wito wa kuwa makini, kuomba na kumtegemea Mungu zaidi.
WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla
Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Katika mtazamo wa Kikristo na Kiroho, pamoja na maisha ya kawaida, nyuki wana maana mbili tofauti (chanya na hasi) kulingana na kile kinachotokea kwenye ndoto. Katika ndoto yako, kuna mambo makuu matatu: kuzingirwa na nyuki wakubwa kwa wadogo, kujaribu kukimbia lakini ukasita ili usilete shida ndani, na kung'atwa (kuumwa) nao.WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla
Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Seems your right through my on experience.Kwa mtazamo wa kiroho, nyuki wanaweza kuashiria changamoto, presha au watu wenye kukusumbua, huku kuumwa kukimaanisha kuna jambo linaweza kukuumiza au kukupa tahadhari. Lakini si lazima iwe ishara ya mabaya yatakayotokea. Chukua kama wito wa kuwa makini, kuomba na kumtegemea Mungu zaidi.
Unaweza kuidadafua vizuriš¤Katika mtazamo wa Kikristo na Kiroho, pamoja na maisha ya kawaida, nyuki wana maana mbili tofauti (chanya na hasi) kulingana na kile kinachotokea kwenye ndoto. Katika ndoto yako, kuna mambo makuu matatu: kuzingirwa na nyuki wakubwa kwa wadogo, kujaribu kukimbia lakini ukasita ili usilete shida ndani, na kung'atwa (kuumwa) nao.
Labda umewachokoza!! Kama sivyo huo ni "uchawi" uliokubuhu.WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla
Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Badilisha jina na profile pic utakuwa sawa.WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla
Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Daaah!! Hiv na profile picture ina nyuki na jina la nyuki.....but haviusian.!! Nimekuwa nkiota ndoto nying na nyingine zimetokea hasa zile positive na negative nimekuwa nikiziombea kufuta matokeo yake ila hii inanitafakarisha sanaBadilisha jina na profile pic utakuwa sawa.
Usitishike Mkuu,hayo alioyaongea ndio ukweli mtupu tena mimi ndoto ilikuwa ikijirudia,to be honest ktk ndoto nisizozipenda,ila kuna mtu humu aliongelea ndoto ya simba mimi kwangu ilikuwa ndoto nzuri ila simba hakuni attack anakuwa kama paka hana madhara.Acha roho mbaya.....
Mkuu experience yako ni ipi tujuzeš¤
Wewe ndo umenena mkuu ID na avieter zinajiekeza kuya yeye ni bwana nyukiWewe ni afsa nyuki kwahivyo lazima utaota vitu vinanyoendana na nyuki nyuki
Dream means nothing
Kiimani na kiroho, ndoto ya kuzingirwa na nyuki wakubwa kwa wadogo inaashiria kukabiliwa na maadui au shinikizo la kiroho kutoka vyanzo tofauti, kama inavyolinganishwa na maandiko ya Kumbukumbu la Torati 1:44 ambapo maadui walimfukuza mwanadamu kama wafanyavyo nyuki.Unaweza kuidadafua vizuriš¤