Nini ishara ya Kuzingirwa na Nyuki na king'atwa

Skumbuki vizur sehemu ya kunga'twa ila ni wachache ndio walining'ata
 
Skumbuki vizur sehemu ya kunga'twa ila ni wachache ndio walining'ata

Pole kwema hiyo Roho KATAA uharibifu,tangaza uzima kwenye maisha Yako, KATAA rahaa ya mauti,FUTA nguvu zote za kuumwa na nyuki ,kwa jina la YESU, Amen
 
Mkuu umenikumbusha ujanani mida ya jioni ilikuwa kawaida tunakutana uwanja wa sifa,kurasini au relini sasa hiyo siku nakumbuka tulikuwa na mechi na watoto wa keko vichaa kwelikweli sasa mechi ikiwa inaendelea likapita kundi la nyuki 😂😂 mwanzonii watu walifikiri ni maskhara kufumba na kufumbua kila mtu akawa anajiokoa kivyake wengine kulala chini wengine kujifunika na nguo. Nilirudi nyumbani nimevimba mgongoni na shingoni sasa nakuja kumuona bonge jirani yetu amevimba usoni kama mtu aliyepigwa ngumi nzito alikuwa kituko badala ya kumwonea huruma unajikuta unamcheka😂😂😂 Wale wadudu sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…