Nini itakuwa hatma ya Scorpion?

Nini itakuwa hatma ya Scorpion?

Adolf Hitler Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
340
Reaction score
263
Ni swala lisilo pingika kwamba kitendo cha Scorpion kumtoboa macho bwana Said kama anavyotuhumiwa limegusa hisia za Watanzania wengi sana. Naomba maoni ya wanasheria humu ndani juu ya hukumu atakayopata ama ni vipi Scorpion anaweza asikutwe na hatia? ?..?,
 
yeye kasema alitumia mikono kutoa macho!!!!!!!!!!!!!
 
anyongwe. Kwani mkimuweka miaka 30 huko jela akatoka ataanza kufanya nini kujiendeleza kimaisha. Hamna cha maana kutumia kodi za wananchi kuwaweka wafungwa ambao wanajulikana na kuna ushahindi kwamba ni wauwaji na waalifu. Tunapoteza hela ya wananchi ambayo ingetumika kwenye maendeleo.
 
Naamka nikiwa mfalme wa Tanganyika nipo katika kiti Cha Enzi Cha mfalme.. Hukumu i mikononi mwangu... Ni Amri moja tu tafuteni wataalum mataifa yote.. Macho ya scorpion yaende kwa saidi.. Kesi kwisha.. Adumu milele mfalme wa Tanganyika..
 
Naamka nikiwa mfalme wa Tanganyika nipo katika kiti Cha Enzi Cha mfalme.. Hukumu i mikononi mwangu... Ni Amri moja tu tafuteni wataalum mataifa yote.. Macho ya scorpion yaende kwa saidi.. Kesi kwisha.. Adumu milele mfalme wa Tanganyika..

Hatari sana, an eye for an eye . Nashukuru kwa maoni yako Comrade
 
Sasa hata scorpion akipinga kuna ushahidi wowote?
Alafu haya mambo ya kuwekana ndani kabla uchunguzi haujakamilika haileti picha nzuri,
KAMA MNAJUA UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA MNAMKAMATIA NINI SASA?
Si mumuache muendelee na uchunguzi wenu?
 
Scorpion akipata msaada wa kisheria anashinda hiyo kesi
Nilishawaambia waswahili wenzangu kwamba sheria ni zaidi ya maneno na huruma za mtaani....sheria inahitaji ushahidi tosha kumtia mtu hatiani na kumfunga jela...kinyume cha hapo scorpioni atatoka kifua mbeleee
 
Scorpion lazima apate adhabu anayositahili. Hapa na serikali itataka kufurahisha public. Pia serikali imetoa 10 M kupitia Makonda. Hii hela lazima Scorpion aitumikie.
Ila suala hili tusiliongelee lipo mahakamani.
 
Kwa kitendo kile kiliteka sana media so kuhukumiwa ni lazma na vle vle kwa upande wa ushahidi nadhan wale wauza kuku wanaweza kuwa mashahidi wazuri tuuu
 
Back
Top Bottom