Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 263
Unawaza kama mimiTukiweka hisia pembeni na tukasikiliza upande wa pili, yaweza kuwa scopion hakufanya hilo tukio
[emoji15]Tukiweka hisia pembeni na tukasikiliza upande wa pili, yaweza kuwa scopion hakufanya hilo tukio
Duuuuh [emoji15] [emoji15] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji124]Tukiweka hisia pembeni na tukasikiliza upande wa pili, yaweza kuwa scopion hakufanya hilo tukio
Naamka nikiwa mfalme wa Tanganyika nipo katika kiti Cha Enzi Cha mfalme.. Hukumu i mikononi mwangu... Ni Amri moja tu tafuteni wataalum mataifa yote.. Macho ya scorpion yaende kwa saidi.. Kesi kwisha.. Adumu milele mfalme wa Tanganyika..
Nilishawaambia waswahili wenzangu kwamba sheria ni zaidi ya maneno na huruma za mtaani....sheria inahitaji ushahidi tosha kumtia mtu hatiani na kumfunga jela...kinyume cha hapo scorpioni atatoka kifua mbeleeeScorpion akipata msaada wa kisheria anashinda hiyo kesi
Atakutana na public JusticeHilo kosa dogo sana,baada ya miaka 5 tutamuona uraiani