Nini kazi ya Mabalozi wanaoiwakilisha nchi nje ya nchi.

Hayo sifahamu kwakweli.. Unajua kusafiri nako ni utashi halafu ni hobby... All in all umeshawahi kumuona tajari anaenda kuhemea?
 
Hayo sifahamu kwakweli.. Unajua kusafiri nako ni utashi halafu ni hobby... All in all umeshawahi kumuona tajari anaenda kuhemea?
Nalo hilo ni neno tajiri uwaga ahemei , yeye hufuatwa na wahitaji. Ila twende mbele turudi nyuma kwa muda wa Hangaya akiwa madarakani na safari zake alizofanya akija kukaa vipindi viwili vyote safari zake atakua amemzidi hata mkwere pia. Chief anakata anga si mchezo ni kama kawaambia wabongo tuone mtamfanya nini.Dodoma hakai na hata Dar nako hakai yaani kiguu na njia tu.
 
Rais hapangiwi.. Pia tuzingatie yale maonyo ya kumsema vibaya rais halafu 2lia akakazia[emoji1544][emoji1550]
 
Hatumpangii sheikh, upinzani ungekua uko makini bongo na watu haswaa nakwambia 2025 hawa CCM wasingechomoa wallah laadhim. Wabongo tumeichoka hii ccm ni kwa vile hamna mbadala tu sasa hivi. Tulia nae atulie tu hapo alipo alitolewa jalalani huko na mwendazake la sivyo wala hakua kwenye circle yoyote ya kua hadi speaker...Asitutisheee banaaa.
Rais hapangiwi.. Pia tuzingatie yale maonyo ya kumsema vibaya rais halafu 2lia akakazia[emoji1544][emoji1550]
 
Nimekuelewa mkuu, ILA huhitaji upinzani mkuu,fight na mifano ipo mingi, yule school girl pale Iran 🇮🇷 amekua chanzo cha kupigania haki, sio political party
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duh huyo aliyeuliza hivyo alikuwa mbumbumbu wa kiwango cha lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…