Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Kumekua na wimbi la matukio mbali mbali yameripotiwa kutokea nchini hivi karibuni.
Unamaoni gani kwa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na kwa wananchi kwa ujumla kuhusu matendo haya ambayo yamekua yakiripotiwa mara kadha wa kadha ili yakome kabisa, kwasababu yamekua yakiichafua nchi yetu kimataifa, na baadae yanaweza pelekea madhara kiuchumi kwani watu watakua wakiishi kwa hofu na hivyo shughuli za uzalishaji kua duni!
Ahsante.