uitoe madarakani huku umejificha kihuni nyuma ya keyboard dah, si ushirikina huoCCM kutoka madarakani
nadhani kuna haja sasa kwa kituo cha demokrasia nchini, TCD ndiyo iwe msimamizi wa chaguzi ndani ya vyama vya siasa nchini ili kudhibiti wahuni kung'ang'ania madaraka na kujipenyeza kihuni kwa rushwa na kuwaumiza wengine kwaajili tu ya nafasi za uongoziHahah 😀 Tlaatlaah
Tuitoe ccm madarakaniKumekua na wimbi la matukio mbali mbali yameripotiwa kutokea nchini hivi karibuni.
Unamaoni gani kwa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na kwa wananchi kwa ujumla kuhusu matendo haya ambayo yamekua yakiripotiwa mara kadha wa kadha ili yakome kabisa, kwasababu yamekua yakiichafua nchi yetu kimataifa, na baadae yanaweza pelekea madhara kiuchumi kwani watu watakua wakiishi kwa hofu na hivyo shughuli za uzalishaji kua duni!
Ahsante.
Uharamia haukomeshwi kwa matamko au kwa vifungu vya kisheria, Dr Tulia alikuwa sawa kusema vile lakini hatukumuelewa.Kumekua na wimbi la matukio mbali mbali yameripotiwa kutokea nchini hivi karibuni.
Unamaoni gani kwa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na kwa wananchi kwa ujumla kuhusu matendo haya ambayo yamekua yakiripotiwa mara kadha wa kadha ili yakome kabisa, kwasababu yamekua yakiichafua nchi yetu kimataifa, na baadae yanaweza pelekea madhara kiuchumi kwani watu watakua wakiishi kwa hofu na hivyo shughuli za uzalishaji kua duni!
Ahsante.
Una uhakika upi kuwa chama kitakachochukua nafasi hakitakuwa na uozo kama huu uliopo?. Kuongea ni kazi nyepesi utendaji ndio huwa shida.Mzizi wa yote ni chama kilichopo madarakani. Kipishe mabadiliko sasa watu waje kuchukua hatua tuanze upya.
Asante.
Watu tuiondoe CCM mapema.Kumekua na wimbi la matukio mbali mbali yameripotiwa kutokea nchini hivi karibuni.
Unamaoni gani kwa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na kwa wananchi kwa ujumla kuhusu matendo haya ambayo yamekua yakiripotiwa mara kadha wa kadha ili yakome kabisa, kwasababu yamekua yakiichafua nchi yetu kimataifa, na baadae yanaweza pelekea madhara kiuchumi kwani watu watakua wakiishi kwa hofu na hivyo shughuli za uzalishaji kua duni!
Ahsante.
Una uhakika upi kuwa chama kitakachochukua nafasi hakitakuwa na uozo kama huu uliopo?. Kuongea ni kazi nyepesi utendaji ndio huwa shida.
Kinachofikirisha ni kuona mauaji ya huyo mwanasiasa na mengineyo yanatokea mwaka huu wa uchaguzi wa serikali za mitaa, ukiunganisha dots unapata dhana zisizo nzuri kuwemo akilini mwa mtu lakini zinaweza kuwa ndio uhalisia.Katiba mpya ndo itayofuta mauchafu yote ya hicho chama tawala
Don't underestimate the power of silaha lo