SoC04 Nini kifanyike ili kupunguza ongezeko la Singles Mothers walio na umri mdogo?

SoC04 Nini kifanyike ili kupunguza ongezeko la Singles Mothers walio na umri mdogo?

Tanzania Tuitakayo competition threads

vds

New Member
Joined
Jun 7, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Mnamo miaka ya hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana la wasichana/mabinti wanao zalia majumbani mwao namaanisha kwa walezi wao au wazazi wao.

Na wanalea watoto pekeao bila wazazi wenzao kuhusika na malezi ya watoto na hata kama wakihusika ni ile tu kutembeleana na si kuishi kama familia . Hi hali huwa ni mbaya sana inawasababishia watoto wengi kuathirika kisaikolojia pale wanapopata malezi ya upande mmoja mala nyingi watoto hawa hiwa hawafanyi vizuri katika masomo yao na wengi wao wanakua na tabia za ajabu ajabu.

Na yote hii hutokana na mmomonyoko wa maadili ambao kwa kiasi kikubwa sana huchangiwa na utandawazi mabinti /wasichana wadogo huanza kutumia mitandao ya kijamii wakiwa ni bado mabinti wadogo wengi huanza kutumia wakuwa shule na mwisho wa siku mitandaoni humo hukutana na mambo mengi hukutana na vista vishawishi vya wavulana na huishia kupeana mimba na kwakua hata vijana wanaokutana nao wengine huwa hawajakomaa kiakili kias kwamba wanaweza kulea familia basi huishia kua single mothers.
Mimi nilikua naishauri serilikali ili kurejesha maadili ya kitanzania na kupunguza ongezeko la mabinti wanao zalia mitaani

1/ ingejalibu kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii kwa kuzuia maudhui yasio faa endapo kama kuna mtandao utakaidi basi kuna haja ya kuufungia kabiasa.

2/Cha pili watu wengi huwa tunaamini wasanii ni kioo cha jamii lkn hao wasanii wamekua watu wa kwanza kwa kutumia kauli zisizo faa kwenye utunzi wa kazi zao na pia huvaa mavazi yasiyo ya hesha yenye kutia vishawishi nawengine baadhi yao huwavalisha watoto wao na kuweka kwenye mitanda ya kijamii apo sasa mabinti wale wengine wakiona huiga na na kuvaa pia pale wanapo vaa huwapa vishawishi vijana wengine hubakwa na wengine hurubuniwa na mwisho wa siku huishia kubeba mimba na kuzalia mitaani kwaiyo serikali ingeangalia upande wa Sanaa na kuwaonya mienendo yao jinsi inavo athiri jamii.

3/ Na jambo la tatu na la mwisho serikali ingeangalia kwa jicho la tatu kwa watu wanao miliki sehemu za starehe nikimaanisha bar, grocery, na kumbi zinginezo za starehe kumekua na ongezeko kubwa la mabint wenye umri mdogo kuingia kwenyesehemu hizo wamiliki wa sehemu hizo wamesahau kabisa umri unao ruhusiwa sehemu hizo mwishowe mabinti hujufunza maadili yasiyo faa katika jamii huko hurubuniwa na vijana pia huishia kubeba mimba na kulea wakiwa pekeao

Mwisho mimi nimiongoni mwa mabinti walio lelewa na mzazi mmoja kwaiyo huwa nijajua mambo anayo kutana nayo mtoto akiwa katika hali hiyo.
 
Upvote 5
Back
Top Bottom