Nini kifanyike ili Mashabiki wa Simba wasije kung'oa tena viti wakifungwa?

Shida yako nini? Mpira mbovu ila mmekaliwa juu...
 
Kila anaeng'oa kiti na yeye ang'olewa kichwa.

Unataka Kuleta mambo ya Imani yako kwenye Mpira.

HUKU sio Jino kwa jino.

HUKU ni Fair Play
(Upendo)

Sio mambo ya VISASI na Machuki.
ETI kisasi ni Haki.

KWENYE FOOTBALL UKIFANYA KISASI NI HAKI UNALAMBWA UMEME, UNAFUNGIWA NA FAINI JUU.
 
Hawa mashabiki mbumbumbu ndiyo wamesababisha mpaka serikali imetumia bilioni zaidi ya 30 za walipa kodi kuukarabati tena huo uwanja. Hawana maana hata kidogo. Kutukana watu matusi, wao! Vurugu za kitoto, wao!!
 
Nini Kifanyike ili Mashabiki Wa Simba wasije kung'oa tena viti wakifungwa..
👇👇👇👇👇

tuhakikishe simba hawafungwi....
Kwa hali hiyo itabidi mechi zao zote wachezeshe wale waamuzi wao wa mchongo! Akina Tatu Malogo, Jonisia Lukya, Aragija, na Ahmada Simba bila shaka!!!

Yaani hapo kadi nyekundu nje nje kwa wapinzani ili wacheze pungufu, na magoli yao yote ya offside yatakubaliwa kama ilivyo kawaida!
 
Nini Kifanyike ili Mashabiki Wa Simba wasije kung'oa tena viti wakifungwa..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

tuhakikishe simba hawafungwi....
Walishinda lakini bado wakang'oa viti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…