Nini Kifanyike Ili Viganja Viwe Laini?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Salam kwenu madokta, samahani naomba mnifahamishe maana nimetumia lotion nyingi lakin hazina msaada kwake bado viganja vyake ni vigumu kama unyayo wa askari wa wanyama pori.

Havileti stimu kabisa yani

Nawasilisha.
 
Hapa brother ili viwe laini unatakiwa ufanye lifuatalo
".Jichambie mikono yako ipasavyo"
 
Pengine rabda anafanya kazi za nguvu
Subiri waje watakusaidia
 
Salam kwenu madokta
samahani; naomba mnifahamishe maana ametumia lotion nyingi lakin hazina msaada kwake
bado viganja vyake ni vigum kama unyayo wa askari wa wanyama pori...
havileti stim kabisa yan!
nawasilisha!!

Kwanza angalia kazi anazozifanya kwa viganja kama kulima, kusugua masufuria au chochote kigumu, kufyeka etc. atumie gloves ngumu ili asiathiri ngozi ya viganja..... oooh bye nawahi lift
 
Unataka mkono uwe laini ili uchepuke na nyeto .
 
Kwanza angalia kazi anazozifanya kwa viganja kama kulima, kusugua masufuria au chochote kigumu, kufyeka etc. atumie gloves ngumu ili asiathiri ngozi ya viganja..... oooh bye nawahi lift

ni kazi ndogondogo mkuu!
Kwan wewe unalainisha kwa kutumia nini!
 
Pole sana ngoja wake hasa akina mama wanajua. Ila inasikitisha sana mtu anaomba msaada halafu mijiti mingine mtu mzima hovyo analeta kejeli tena kwa lugha ambayo si nzuri. Kama huna mchango kwa ombi la mtu ni bora upite tu si lazima ku comment chochote. Pole sana mleta mada ila jua humu JF kuna waungana na vijitu!!! Waungwana watakupa ushauri mzuri sana uwe nasubira watakujibu. Uwe active kufuatilia thread yako ili kuifanya iwe live maana umeianzisha wakati wa kuchelewa watu wa upende wa Tz wanakuwa busy kurudi majumbani ila wakitulia watajibu, wa majuu nao wamo humu watakusaidia. JF ina msaada sana kwa mambo mengi, kuna diverse knowledge.
 
kuna zile lotion za kulainisha mikono hata miguu inasaidia sana
 
Hahahaaaaa nilikua namuona dada yangu mmoja anapaka vaseline kwenye miguu na mikono kisha anafunga na mifuko laini miguuni na kwenye mikono yake....sa sijui itakusaidia...
 
Atumie lotion ya cocoa butter yenye vaseline apake anapomaliza kaz zke au atumie lotion ya enchant ya hand and nail opful itamsaidia
 
ahsante kwa mchango wako mkuu!
Hapa JF kuna mijitu inaudhi sana , mpaka unajuta kuandika uzi
 
Hahahaaaaa nilikua namuona dada yangu mmoja anapaka vaseline kwenye miguu na mikono kisha anafunga na mifuko laini miguuni na kwenye mikono yake....sa sijui itakusaidia...

mkuu unamaanisha vaseline mafuta ya jelly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…