Nini kifanyike (kiimani) baada ya mimba kuharibika?!!!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Salaam, waungwana!
Mtanisamehe, ni suala la kiimani. Kwakuwa silioni jukwaa la dini basi naamini niko sehemu salama katika jukwaa hili la habari na hoja mchanganyiko!

Naualiza wajuzi, hususani wa dini ya kiislamu, nini anapswa kukifanya mume na mkewe mara baada ya mimba kuharibika (kwa bahati mbaya)?!!!!

Usiniambie, 'nenda kaulize kwa ostadhi au msikitini', kwani huku niliko hakuna vitu kama hivyo.
 
Naomba nitumie namba yako pm then nitakutumia clip inaonyesha sababu moja wapo inasababisha mimba kuharibika.

Usihofu hiyo ni issue ndogo sana kuisolve kiroho na mambo yakawa safi.!
 
Usiniambie, 'nenda kaulize kwa ostadhi au msikitini', kwani huku niliko hakuna vitu kama hivyo.
Upo sayari gani wewe ambayo huwezi kukutana na ustaadh wa sheheh?sema unataka short cut ila vizuri ukawatafuta watu wanaojua hili ambalo wewe hulijui.
 
Azikwe mtot alfu kaeni muda fln bas tafuteni mwingine
 
Mke akoge josho la nifasi akimaliza. Mengine yaendelee mkuu.
 
Back
Top Bottom