Naomba nitumie namba yako pm then nitakutumia clip inaonyesha sababu moja wapo inasababisha mimba kuharibika.Salaam, waungwana!
Mtanisamehe, ni suala la kiimani. Kwakuwa silioni jukwaa la dini basi naamini niko sehemu salama katika jukwaa hili la habari na hoja mchanganyiko!
Naualiza wajuzi, hususani wa dini ya kiislamu, nini anapswa kukifanya mume na mkewe mara baada ya mimba kuharibika (kwa bahati mbaya)?!!!!
Usiniambie, 'nenda kaulize kwa ostadhi au msikitini', kwani huku niliko hakuna vitu kama hivyo.
Upo sayari gani wewe ambayo huwezi kukutana na ustaadh wa sheheh?sema unataka short cut ila vizuri ukawatafuta watu wanaojua hili ambalo wewe hulijui.Usiniambie, 'nenda kaulize kwa ostadhi au msikitini', kwani huku niliko hakuna vitu kama hivyo.