FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nadhani ‘Life insurance policy’ ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya mauaji. Unless otherwise hakikisha yule beneficiary hajui, otherwise atakutafutia namna akuue ufe kabla ya siku zako ili aanze kufaidi matunda ya bima aliyowekewa.
Pia bima kubwa imekuwa ni chanzo cha wahindi kuchoma moto mahoteli yao hovyo hovyo pamoja na waarabu wamekuwa na michezo ya kuchoma moto majengo yao ili tu walipwe bima. Pia, wapo wanaochoma moto magari ya bei mbaya hasa malori na mabasi ili walipwe mapya.
Nini kifanyike kudhibiti hali hii