Pre GE2025 Nini kifanyike kudhibiti pesa chafu na rushwa kiujumla kwenye chaguzi kuu za nchi nyingi za Afrika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nilikuwa najiuliza kwanini Watu wengi husema kuwa kama usipomalizia Kibanda chako au usipojenga Kipindi cha Uchaguzi Mkuu ( hasa katika Nchi za Afrika ) basi sahau tena Kujenga kwani Kipindi hicho Pesa zinakuwa nyingi na za Kumwaga huko Mitaani ila sasa nimeshaelewa walichokuwa wakikimaanisha.
Hizo siyo pesa 'feki', ni pesa og lakini ni pesa 'chafu'.

Kuzidhibiti kuingia kwenye mzunguko ni vigumu kama ngamia kupenya tundu la sindano.

'System' ndiyo hucheza hiyo rafu, kwa raia wa kawaida hata tu kuelewa zimeingia ama hazijaingia ni vigumu, labda kama ni chawa unapewa kununulia watu vitenge na pilau.
 
Ni ngumu sana kuzuia Kwa hii mifumo yetu
 
Back
Top Bottom