Written by: Nathan Perez, Benjamin Joseph Levin, Magnus Hoiberg, Justin Drew Tranter, Sasha Sloan, Jarad HigginsI'm in my black benz
Doin' cocaine with my black friends -juice wrld
Hakuna uzalendo nchi hii china mtu akikutwa ivo hata awe nani ananyingwaNo patriotism at all
Zamani niliwahi kujifanya Mzalendo, yalitaka kunikuta mabaya ndugu yangu. Nimeacha mkuu.Hakuna uzalendo nchi hii china mtu akikutwa ivo hata awe nani ananyingwa
Na hii ndio dawa lkn haiwezekani.Watumiaji waache kutumia tu. Biashara ikikosa wateja itajifia yenyewe
Ukitaka kukomesha hapa maana yake unapambana na wauza unga magwiji wa marekani,ulaya na America ya kusini utaweza huo mpambanoKila mara tunasikia taarifa za ukamataji mkubwa, operesheni nzito na kampeni za kupambana na dawa za kulevya… lakini mitaani mtandao wake unazidi kuenea.
Je, tatizo ni udhaifu wa mifumo ya sheria? Ni viongozi hawawajibiki ipasavyo? Au kuna watu wenye nguvu wanaonufaika na biashara hii?
Kila siku tunavyonyamaza, vijana zaidi wanapotea, familia zinavunjika, na taifa linapoteza nguvu kazi.
Unadhani kawanini watu wanafanya hii biashara licha kuwa na adhabu kali?
Ila we haupo seriousWritten by: Nathan Perez, Benjamin Joseph Levin, Magnus Hoiberg, Justin Drew Tranter, Sasha Sloan, Jarad Higgins
Juice Wrld alikua ni muimbaji tu ila hakuandika yeye, hakua anaimba kitu kinachomuhusu ni km character wa kwenye igizo