Nini kifanyike kupambana na tatizo la uric acid kwenye damu?

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
3,955
Reaction score
2,133
Habari wataalam,

Ni dawa gani au hatua zipi zichukuliwe kukabiliana na Uric Acid iliyozidi mwilini? Vipimo vya hospital vimeonesha kuwa kuna uric acid nyingi kwenye damu kufikia mpaka 750 (wataalam watakuwa wameelewa).

Hali imekuwa mbaya kiasi kwamba miguu inachoka sana baada ya kusimama hata dakika 5 tu japo haivimbi.

Asanteni
 
change your diet, eat organic food na tumia mitishamba.
 
change your diet, eat organic food na tumia mitishamba.
Mkuu BLACKTYGA, umemshauri mwanajamvi mwenzetu kutumia organic food na mitishamba katika kupambana na ueic acid mwilini, mkuu nami pia nina tatizo hili la ueic acid kupanda, mkuu unaonaje kqma utaainisha ni namna gani ya kutumia hiyo mitishamba.
 
Ngoja nianze kuunguza Nyagi..👴
 
Reactions: SG8
Kula ndizi mbivu( ambazo bado zina ukijani hazijaiva sana) angalau tatu kwa siku
Shukran Mzee23, kwani nami pia ni muhanga wa tatizo hilo, swali langu ni je ndizi hizo ziliwe kwa muda gani? naomba jibu mzee23 kama hutojali.
 
Shukran Mzee23, kwani nami pia ni muhanga wa tatizo hilo, swali langu ni je ndizi hizo ziliwe kwa muda gani? naomba jibu mzee23 kama hutojali.
Fanya kama mlo tu mkuu.. iwe desturi ya kila siku maishan kula ndiz mara ka mara
 
Mkuu BLACKTYGA, umemshauri mwanajamvi mwenzetu kutumia organic food na mitishamba katika kupambana na ueic acid mwilini, mkuu nami pia nina tatizo hili la ueic acid kupanda, mkuu unaonaje kqma utaainisha ni namna gani ya kutumia hiyo mitishamba.
use kigelia or any organic herbal that tend to cleansing the blood ( rich in iron florine)
 
Kumbe wengi tuna tatizo hili? Vipi kwako Mkuu imeisha kabisa?
Nikitumia dawa kwa kipindi Fulani inashuka nakuwa normal, then nastop dawa. Nawezakaa Hadi miezi 9 nikiwa fresh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…