NORTH GOLD MINE
Member
- Apr 16, 2021
- 83
- 118
Hello Wanajukwaa wa JamiiForums hivi karibuni tumeshuhudia bidhaa zote muhimu zikipanda bei kwa kushtukiza yaani imekuwa kama surprise ya kila siku. Bidhaa kama mikate, mafuta- unga- yaaani hata sabuni jamaaani nazo eti zimepanda aisee.
So nawaomba hawa wanaojiita wanaharakati na wazalendo kama wanavyojinadi katika mihadhara mbalimbali. Je, hili jambo hawalioni kuwa inatuyumbisha sana kiuchumi sisi raia wa chini au uzalendo wao ni wa kimpango mkakati wa kwao binafsi au ni wa kitaifa pamoja na raia wote.
UVCCM - CCM pamoja na viongozi wengine je nyie haya mambo mnatusaidia vipi raia Mana kila siku kauli yenu ni moja tu siku zote mfano TUPO NA WEWE BEGA KWA BEGA, TUNAUNGA MKONO HOJA - MWAKA MMOJA WA MAFANIKIO:T UNALAANI VIKALI KAULI: TUNAKEMEA VIKALI
JE, VIPI KWA HILI SWALA JE LENYEWE MNASIMAMIA UPANDE GANI LIENDELEE KUWA HIVO HIVO AU NDO MKUBWA HASEMWI