Nini Kifanyike kupunguza vurugu kati ya wafanyabiashara wadogo na polisi

Nini Kifanyike kupunguza vurugu kati ya wafanyabiashara wadogo na polisi

Bateko

Senior Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
106
Reaction score
16
Nimekuwa nikijiuliza kwa nn migogoro ya sehemu ya kufanyia biashara kwa wamachinga huwa haiishi?
je mbali na wao kuwa wengi kuliko maeneo ya biashara je ni zipi nyingine: naomba mchango wenu wadau
 
Back
Top Bottom