B Bateko Senior Member Joined Jun 26, 2011 Posts 106 Reaction score 16 Nov 21, 2011 #1 Nimekuwa nikijiuliza kwa nn migogoro ya sehemu ya kufanyia biashara kwa wamachinga huwa haiishi? je mbali na wao kuwa wengi kuliko maeneo ya biashara je ni zipi nyingine: naomba mchango wenu wadau
Nimekuwa nikijiuliza kwa nn migogoro ya sehemu ya kufanyia biashara kwa wamachinga huwa haiishi? je mbali na wao kuwa wengi kuliko maeneo ya biashara je ni zipi nyingine: naomba mchango wenu wadau