generalization ni mbaya sana
ndoa moja isije ikakufanya uone kuwa ndoa hazidumu mkuu
Ingia kwenye taasisi hii ukiwa na malengo yako na ukiwa na aim ya kuitunza ndoa yako na kuifanya idumu
ukiingia na hizi notion kuwa ndoa hazidumu hata ya kwako haitadumu
Oa ukijua kuwa ndoa yangu ndio itakuwa the best marriage ever exist na utaona matunda yake