Nini kifanyike pale mtumishi anapotukanwa Ofisini kwake

Nini kifanyike pale mtumishi anapotukanwa Ofisini kwake

Kiyosaki i

Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
18
Reaction score
11
Msaada inakuaje pale mtu anapoingia ofisini (WEO) au (VEO), ghafla baada ya kupewa utaratibu anaotakiwa kuufata anaananza kumtukana kiongozi huyu.

au hata kwenye mkutano kiongozi kutukanwa
kisheria Nini kinatakiwa kufanyika
 
Tatizo hujui kutoa taarifa vizuri.
Kama wewe ndio mtumishi basi wewe ndio tatizo.
hii nimeshuhudia leo, nilikua ofisini kwa VEO, akaja kijana bila hodi Wala taarifa Hadi ofisini kaambiwa wanaongia humu Ni ambao nimewaita tuu,,,,, yakaanzq matusi mapo kiongozi hayupo vizuri kueleza utaratibu Tena kwa lugha Safi??
 
Fanya kaz izi ni moja ya changamoto ya kazi
Ayo maofisi mmeajiriwa ila mnajifanya na kujiona km yakwenu mkitukanwa mnataft hutuma ya watu

Twambieni kwanza kwa nn mnatukanwa sio kutaka kujua tu sheria ya kukulinda ww bira kujua sheria ya kumlinda mteja
 
hahaahha natamani ungejua scenario lakini acha lipite, Kuna mtu hapo juu kasema changamoto kazini na mwingine LETS GO imetosha Sana,,,,,,

ila [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom