Kiyosaki i
Member
- Aug 12, 2021
- 18
- 11
hii nimeshuhudia leo, nilikua ofisini kwa VEO, akaja kijana bila hodi Wala taarifa Hadi ofisini kaambiwa wanaongia humu Ni ambao nimewaita tuu,,,,, yakaanzq matusi mapo kiongozi hayupo vizuri kueleza utaratibu Tena kwa lugha Safi??Tatizo hujui kutoa taarifa vizuri.
Kama wewe ndio mtumishi basi wewe ndio tatizo.
hahaahha natamani ungejua scenario lakini acha lipite, Kuna mtu hapo juu kasema changamoto kazini na mwingine LETS GO imetosha Sana,,,,,,Fanya kaz izi ni moja ya changamoto ya kazi
Ayo maofisi mmeajiriwa ila mnajifanya na kujiona km yakwenu mkitukanwa mnataft hutuma ya watu
Twambieni kwanza kwa nn mnatukanwa sio kutaka kujua tu sheria ya kukulinda ww bira kujua sheria ya kumlinda mteja