Nini kifanyike Simba waweze kutwaa Ramadhani cup na Masoko cup msimu ujao?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
 
Kunywa maji baridi utulie, roho inakuuma huku unatype
 
Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
Waanzie fainali
 
Hakuna team isiyopitia nyakati ngumu Ni mapito tu yatapita,yanga yenyewe miaka mitano nyuma walikuwa na hali Sana,
 
Back
Top Bottom