MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kunywa maji baridi utulie, roho inakuuma huku unatypeBaada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
Waanzie fainaliBaada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
Mkuu shida iko wapi?Kunywa maji baridi utulie, roho inakuuma huku unatype
Swala ni idadi ya vikombe vijae kabatiniAaahh
Nashauri wangeanza kuchukua fomu masoko cupWaanzie fainali