Nini kifanyike Timu za Tanzania kutinga group stage ni yapi?

Abby Uladu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
2,194
Reaction score
4,549
MADA MADA MADA MADA [emoji460] KUELEKEA MASHINDANO YA CLUB BINGWA , TIMU ZA TANZANIA ZINA NAFASI YA KUVUKA GROUP STAGES? [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] NJOO NA MAONI YAKO , UBISHI NDIYO UTAMU WA MADA [emoji460][emoji460][emoji460]M[emoji1422][emoji1422][emoji1614]
Maoni yako muhimu sana
 
@Moderator nirekebushieni kichwa cha uzi
 
Ile ndumba iliyofukuliwa wakati wa marekebisho ya uwanja wa Mkapa tunaomba serikali waturudishie ili tukaifukie upya.
[emoji881] Nguvu moja
 
Waruhusiwe kuchezesha wachezaji 15 kwa pamoja huku wapinzani wao waweke 11 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…