moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Ni kugoma kuingia uchaguzi mwingine bila katiba mpya,
honfera sanaAsante #rofejo , cha pili ni kutengeneza mtandao wa wanamabadiliko, tujuane ili kupeana habari na misimamo. Maana mafisiem wao wana mtandao tayari. Ili ikiwezekana kila kitongoji, kila kijiji, kila mtaa, kila kata, kila JIMBO viongozi wa mtandao huu wa mabadiliko wapatikane na mfumo wa usiri wa kupeana habari utengenezwe kwa faida ya mabadiliko. Lakini hili la kusubiri hadi wakati wa kura ndio watu wanajitokeza, wanajitokeza hata mamluki