Nini kifanyike?

msnajo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
3,066
Reaction score
1,141
Wadau naomba kuwasilisha mada kwenu kwamba"Nini kifanyike kuwasaidia wadogo zetu waliofail mitihani yao ya mwaka jana?" kwa kuwa wengi wamepata alama za 0 na hawawezi kujiendeleza kielimu, tufanyeje kama jamii kwa ujumla? Hili nitatizo kwani muendelezo wa matokeo kama haya kwa miaka mitano ijayo uhalifu utaongezeka na mitaani kuku hawataishi kwa aman kabisa. Nbmini kuwa kwa uelewa wenu mliojaliwa na Mungu mtatoa mawazo endelevu na nikiwa kama mdau wa elimu naahidi kuwa nitayafanyia kazi mawazo yenu kwani Tanzania yetu ni moja na mafanikio ya kila mmoja wetu ndo yatatuwezesha kuondokana na umaskini wa kupindukia unaotuzunguka. Naomba mchango wenu wa mawazo, maendeleo ya Nchi yetu yataletwa na cc Watanzania wenyewe wala hakuna wakutusaidia. Asanteni, Nawakilisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…