Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Ndicho kilichobaki kwa hao mapadre na wachungaji baada ya kazi za kanisani kuwashinda wakaona wakimbilie matamko ya siasa .Baada ya kuona huko nako kumewashinda wamegeukia kwenye kucheza sokaKatika maazimisho ya miaka 50 ya Askofu Isack Amani wa Arusha na kuimarisha umoja baina ya watumishi wa Mungu , kulichezwa mechi muunganiko wa wachungaji vs mapadri wa Arusha .
Kiukweli wachungaji walizidiwa sana ,wachambizi wa JF nini kilipelekea hiki kipigo ?
View attachment 3399209
View: https://youtu.be/HqJZ_SlZ1JE?si=ke4H6FmNEvY7N3OH
Kanisa katoliki liko upande wa wananchi. NO REFORMS, NO ELECTION.Wanasemaje kuhusu kutiki au NRNE ?
Hiyo ni mojawapo ya mazoezi na si vinginevyo.Ndicho kilichobaki kwa hao mapadre na wachungaji baada ya kazi za kanisani kuwashinda wakaona wakimbilie matamko ya siasa .Baada ya kuona huko nako kumewashinda wamegeukia kwenye kucheza soka
Baada ya Soka nini kinafuata?
Kuna maisha baada ya kazi usiwe mjingaNdicho kilichobaki kwa hao mapadre na wachungaji baada ya kazi za kanisani kuwashinda wakaona wakimbilie matamko ya siasa .Baada ya kuona huko nako kumewashinda wamegeukia kwenye kucheza soka
Baada ya Soka nini kinafuata?
Kamsikilize Fr Kitima ana interview mpya, moto uleule, spana konkiNdicho kilichobaki kwa hao mapadre na wachungaji baada ya kazi za kanisani kuwashinda wakaona wakimbilie matamko ya siasa .Baada ya kuona huko nako kumewashinda wamegeukia kwenye kucheza soka
Baada ya Soka nini kinafuata?
Unataka kusemaje😆😆😆Huyo binti aliyemwekea padri mkono begani huku anatabasamu vp?
Michezo ni furahaHuyo binti aliyemwekea padri mkono begani huku anatabasamu vp?