Nini kilichangia Wachungaji kupigwa 9-2 na Mapadri?

Ndicho kilichobaki kwa hao mapadre na wachungaji baada ya kazi za kanisani kuwashinda wakaona wakimbilie matamko ya siasa .Baada ya kuona huko nako kumewashinda wamegeukia kwenye kucheza soka
Baada ya Soka nini kinafuata?
Jaribu kuficha tabia yako ya ushoga mbele za watu kilichobaki ni kukubandua wewe kenge mkubwa
 
Yeah 🀣 🀣 🀣
 
Wakati ujao tunawataka wale ndugu zetu katika imaan! Sasa sijui siku hiyo watacheza na zile kobaz zao!
Imagine unakutana na Sheikh Malaria 2 golini, halafu muda wote wa mchezo anauwaza ubwabwa tu wa samia πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndicho kilichobaki kwa hao mapadre na wachungaji baada ya kazi za kanisani kuwashinda wakaona wakimbilie matamko ya siasa .Baada ya kuona huko nako kumewashinda wamegeukia kwenye kucheza soka
Baada ya Soka nini kinafuata?
Wewe umebanwa na mavi bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…