Muda utaongeaa.....tuipe muda na subraaKwamba pamoja na uzee wake,
lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
Raila Odinga aliwahi kukacha mdahalo 2022 akapigwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa Kenya 2022,Muda utaongeaa.....tuipe muda na subraa
Wasira anatafuta ujiko tu. Ni sawa sawa na kamala harris kumuambia trump wafanye mdahalo ili kuona nani mwamba kati yao.Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
Ila Mh Lissu anakutesa sana, kwanini usijikite kwenye uchawa wako na Ccm kuliko kuwa jicho lako liko kwa CDM tu. Hivi kweli kama una akili unaweza kupoteza muda kufanya mdaharo na mtu kama huyo. Napendekeza Mh Lissu asitoe hata sababu maana atakuwa kajishusha. Wasira afanye huo mdaharo na Hashimu Rungwe kwani na yeye ni mwanasiasa na ndiye size yake.Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
Huu ndio uzi wa kuondokea kuhusu cdm usiku huu, ama utaweka mwingine?Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
ni ngumu sana kwa mkuu wa nchi kuacha dhamana ya kulitumikia taifa, ati aende kupiga siasa na kibaka na tapeli wa siasa jukwaa moja,TL anamtaka Mama ndio size yake huyo.Hombe abakie na upuuzi wake na propaganda hana jipyaa
TL anamtaka Mama ....periodni ngumu sana kwa mkuu wa nchi kuacha dhamana ya kulitumikia taifa, ati aende kupiga siasa na kibaka na tapeli wa siasa jukwaa moja,
gentleman,
hiyo haitokuja kuwahi kutokea Tanzania. Msaidizi wa Rais kuhusu masuala ya chama chake cha siasa ni makamu mwenyekiti, na ndio huyo Mzee Wasira π
Gentleman,Ila Mh Lissu anakutesa sana, kwanini usijikite kwenye uchawa wako na Ccm kuliko kuwa jicho lako liko kwa CDM tu. Hivi kweli kama una akili unaweza kupoteza muda kufanya mdaharo na mtu kama huyo. Napendekeza Mh Lissu asitoe hata sababu maana atakuwa kajishusha. Wasira afanye huo mdaharo na Hashimu Rungwe kwani na yeye ni mwanasiasa na ndiye size yake.
Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzaniao
Sure,Lisu anaenda kwa timing. Kila mechi ina wakati wake Sahihi, wait for it
Target ya lisu si wasira, Target ni CCM .
Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
acha upotoshaji gentleman,Ccm tumewastukia mnalazimisha mdahalo wa lisu na hiko kibabu ilikusudi kijifie jukwaani mumbambikie lisu kesi, hicho kibabu tutampa john pambalu apambane naye lkn sio lisu.
Wewe si mzima... Yaani hujui hata maana ya mdahalo wa wagombea!Kwamba pamoja na uzee wake,