Pre GE2025 Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa mdahalo wa kisiasa na mzee Wassira kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sure,
yupo vizuri mno kwenye timing ya kuomba kuchangiwa pesa ya pocket money, ya kunywa spirit drinks na nyama, for sure eneo hilo yuko chonjo mbaya sana gentleman πŸ’
Of course Spirit Drinks na nyama ni muhimu maisha yenyewe tunapita.

au unataka achangishe ela ili aje kukuhonga ?
 
Yani Lissu afanye mdahalo na wasira? Muwe mnafikiria mara 2 hata km mnalipwa per post, hell no! Akafanye na vikongwe wenzake. Mwalimu Lissu yupo busy kujenga taasisi na kuelimisha watanzania. Jana mama yenu na serikali nzima walikuwa online kupata somo la no reform no elections, sio caliber yake perid
 
Lisu akajadiliane na wastaafu kwani yeye ni afisa wa mafao?
 
Of course Spirit Drinks na nyama ni muhimu maisha yenyewe tunapita.

au unataka achangishe ela ili aje kukuhonga ?
Singinda wanadai anawaabisha sana na tabia yake ya kuomba omba kuchangiwa pesa wakati ana nguvu na akili ya kufanya kazi na kujitegemea,

ndio maana walisusia hata mapokezi yake jana nadhani uliona mwenyewe,

Lakini ni ipi hasa sababu ya msingi kwa kibaka na tapeli hiyu wa kisiasa kukacha mdahalo na Mzee Wasira?πŸ’
 
Lisu akajadiliane na wastaafu kwani yeye ni afisa wa mafao?
ohoo kumbe hiyo ndio sababu ya maana zaidi kwa kibaka mropokaji na tapeli huyo mwenye mdomo na makelele mengi ya kisiasa kukacha mdahalo na Mzee Wasira?

dah sikufahamu kabla dah🀣
 
Akajadiliane na Mzee kama yule anayesahau SahauπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒ
kumbe hizo ndiyo sababu za maana kwa msomi tapeli mwenye mdomo na makelele mengi kula kona dhidi ya Mzee wasira?🀣

kumbe kuna vijana wanyonge kiasi hichi dhidi ya wazee majabali ya siasa za Tanzania? Jamaa katoka nduki kwa sababu za kindezi hivyo gentleman 🀣
 
Subiri matusi kutoka kwa No Reform No Election.
 
Wewe si mzima... Yaani hujui hata maana ya mdahalo wa wagombea!
Mtu yeyote timamu anaenda kwenye mdahalo na mgombea mwenzake wala si machawa!
sasa mwenyewe akili mbona una mbwelambwela tu gentleman?

ni zipi sababu za maana kwa lisu kukacha mdahalo na Mzee Wasira?

huna haja ya kubabaika na mihemko gentleman πŸ’
 
ni zipi sababu za maana kwa lisu kukacha mdahalo na Mzee Wasira?
Kwanza ushamuita Mzee
Pili huyo Mzee wako si levels za Tundu Lissu
Tatu Mzee anazidi kuaibika...
Nne Wasira ana onekana ana hofu na jazba pengine jina linaweza kurudishwa kwenye ziwa muda wowote!
 
Trash
 
Nadhani haikuwa sawa kumuweka ndugu yangu Mzee huyu peke yake,badala yake ilipaswa huo mdahalo uwe ni CCM Vs LISSU ndipo kungelikuwepo na msawazo.
 
Lissu ni mropokaji mzuri. Akikaa na brain zinazotaka hoja, facts and figures, ni mtupu sana kichwani.

Ndio maana Kesi nyingi alizosimamia aliangukia pua.
 
TL alishamjibu Wasira kuwa hana cha kujadili nae sababu mawazo yake,siyo ya kizazi hiki,alimshauri piya kwa umri wake angekuwa analelea wajukuu zake.
 
TL alishamjibu Wasira kuwa hana cha kujadili nae sababu mawazo yake,siyo ya kizazi hiki,alimshauri piya kwa umri wake angekuwa analelea wajukuu zake.
huko sio kutoka nduki kisayansi kwa fedheha na aibu sana gentleman?🀣
 
Lissu ni mropokaji mzuri. Akikaa na brain zinazotaka hoja, facts and figures, ni mtupu sana kichwani.

Ndio maana Kesi nyingi alizosimamia aliangukia pua.
kwahiyo akaona bora kutoka nduki kisayansi kuliko fedheha dhidi ya Mzee wasira mwenye kila jibu la hoja mahususi ambayo angeibua Lisu, right?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…