Elections 2010 Nini kilichotokea Zanzibari? ni muafaka tu au kuna kingine Tusichokijua


Hapa hakuna jingine ndugu hawa jamaa wameamua kuweka Siasa za maji taka kando wanataka kuijenga Zanzibar mpya, Dr. Shein na Maalim Seif wote siwanasiasa kama hawa wetu wenye maneno mengi utendaji kidogo, hawa jamaa kiukweli ni watendaji sana kuliko mambo ya jukwaani. Nawaonea wivu sana natamani na bara nao wangefanya hivyo miaka ijayo. Kama utashinda uchaguzi lkn zadi ya theluti moja (1/3) hawakutaki, then hii theluthi waliokukataa lazima wawakilishwe na wale waliowakubali kwenye serekali itakayoundwa.
Tangu mwanzo wa makubalia
 

Nafikiri unatamani turudi kwenye mfumo wa chama kimoja!mimi sitamani kurudi tulipotoka. Natamani pawepo na upinzani imara!muungano wa CUF na CCM ni pigo kubwa kwa upinzani Zanzibar!Naomba haya yasitokee huku bara!tubaki na CHADEMA yetu imara,ambayo itakuwa inaipa CCM changamoto!!
 
Seif anawatumia wapemba kujipatia kipato haramu ndani ya serikali ya CCM...hata hivyo si alitoka huku huko CCM?
 
Cuf sio chama tena cha upinzani.
Ndo maana hata bungeni wameamua kuunda kambi yao ya upinzani ambayo kazi yake kubwa itakuwa ni kuipiga jeki ccm chini kwa chini.
Maamuzi yao mengi ktk bunge hili yatakuwa yanatofautiana na wenzao wa upinzani.
Vuteni subira na mtajionea wenyewe.
 

Junior Member? no, not, you are expert!

umesema kitu sahihi kabisa ambacho kama hakuna vyam huku bara vitakavyoanza haya mazungumzo they will die natural death, Tanzania ni ya wote regardless our political parties. Isles will remain our platform and role model to build our nation which has been under CCM oppression for 47 yrs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…